Spoti Watalii Sasa Wataweza Kucheza Gofu Mbugani wakiwa kwenye Hifadhi ya Serengeti Mwandishi Wetu Zaidi ya Kujionea Wanyamapori, Sasa watalii wanaweza pia kucheza Gofu wakiwa ndani ya hifadhi ya Serengeti
Spoti Safari ya Mji wa Mbulu kuwa Kitovu Cha Michezo Mkoani Manyara Yaanza na Ukarabati wa Viwanja Dotto Lukezo Hivi karibuni Chief Sarwatt ilikuwa miongoni mwa shule zilizoteuliwa na serikali kushiriki mafunzo maalum ya michezo yaliyoendeshwa na Baraza la michezo Tanzania kupitia wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo.