Habari Mlima Kilimanjaro ndio chanzo cha Raia Wa Ethiopia Kutengenezewa Hati za Kusafiria Marc Nkwame Kilimanjaro ni zaidi ya kuwa Mlima Mrefu zaidi barani Afrika. Pasi za Kusafiria za Raia wa Ethiopia chimbuko lake pia ni katika Kilele cha Uhuru.
Mazingira Moto Kilimanjaro ulivyodhibitiwa Mlimani mwaka 2022 na jinsi ya kujiandaa dhidi ya matukio kama hayo mwaka huu Mwandishi Wetu Uwepo wa miinuko mikali na makorongo makubwa pamoja na mlundikano wa mboji ambayo huhifadhi moto kwa muda mrefu iliongeza ugumu wa zoezi la kuzima moto
Simulizi na Historia Safari Kuelekea Mlima Ung’u: Simulizi ya Ujio wa Watu Wanaoishi Meru, Arusha Emmanuel David Urio Neno Nkanti ambalo ndilo chimbuko la "Kikatiti," ni mwanamke bado hajazeeka au mke mdogo.