Habari Moto Kilimanjaro: Vikosi vya Jeshi la Wananchi vyaingia Kazini Moshi Taifa Tanzania Jeshi la Wananchi Tanzania sasa limeamua kujitosa kwenye opereshi ya kuzima mioto inayoteketeza sehemu ya Mlima Kilimanjaro
Mazingira Mtafiti wa Ujerumani Aangazia Athari Pamoja na Faida Za Mioto Inayolipuka Kilimanjaro Kila Mara Taifa Ripota Andreas Hemp, mwanazuoni na mtafiti wa masuala ya mazingira katika chuo kikuu cha Bayreuth anasema mioto inayolipuka Kilimanjaro wakati mwingine ina faida kwa mazingira