Jitihada zichukuliwe kuzuia milipuko Mingine ya Moto Mlima Kilimanjaro Nyakati za Kiangazi Mwandishi Wetu Oct 22, 2022 Palipo na Moshi hapakosi Moto na katika wilaya ya Moshi, Moto unaripotiwa kulipuka juu ya Mlima mrefu Barani Afrika. Kilimanjaro.