Ukame Wateketeza Wanyamapori Ndani ya Hifadhi ya Burunge, Wilayani Babati Mwandishi Wetu Oct 26, 2022 Vifo vya wanyama sasa vinaripotiwa kwa wingi ndani ya Hifadhi ya Jamii ya Burunge kufuatia ukame uliokithiri Kaskazini mwa Tanzania