Spoti Baraza la Sanaa lafunga Safari kufuata vipaji vipya Mikoani, Wilayani na Vijijini Dotto Lukezo Katika kuhakikisha kuwa vipaji vinavyochipukia nchini havipotei, Baraza la Sanaa la Taifa linafunga safari kuvifuata popote