Hospitali Mpya ya Karatu yakamilika. Itakuwa na Uwezo wa Kuhudumia Wagonjwa 300,000 Sophia Fundi Nov 4, 2022 Kwa miaka mingi wakazi wa Karatu walikuwa wakiitegemea hospitali ya Kanisa la Kilutheri, huku wengine wakilazimika kusafiri hadi jijini Arusha