Padri Joseph Damn: Mateka wa Vita aliyefanya mambo makubwa Tanganyika Kizito Mpangala Jan 31, 2023 Katikati ya vita vya dunia, vita vya majimaji na mapambano ya mkwawa dhidi ya wajerumani, Padri Damn aliweza kufanya makubwa Tanganyika