Sakata la Mauaji ya Polisi Loliondo: Watuhumiwa 24 Waachiwa Huru Arusha Omega Mlay Wakili wa Serikali Upendo Shemkole aliieleza mahakama kuwa mkurugenzi wa mashitaka nchini (DPP) hakuwa na nia ya kuendelea na shauri hilo tena.