Kesi ya Wanavijiji Loliondo Dhidi ya Pori Tengefu la Pololeti Kusikilizwa Novemba 8
Nao baadhi ya Mawakili upande wa utetezi, Alais Melau, Denis Mosses na Yohana Masiaya wamepinga taarifa hiyo ya kupandishwa hadhi kwa eneo hilo kutoka pori tengefu kuwa pori la akiba la Pololeti kwani utaratibu wa awali…