Historia ya Sanamu la Askari eneo la Samora Jijini Dar-es-Salaam Mwandishi Maalum Pengine ndio mnara maarufu zaidi nchini, Sanamu la Askari lililopo katika makutano ya Barabara ya Samora na Maktaba jijini Dar-es-salaam.