Idadi ya Watanzania Sasa Imefikia Milioni 61.741 Mwandishi Wetu Idadi ya wanawake pekee imefikia 31,687,990, kwa mujibu wa matokeo ya sensa ya kitaifa ya watu na makazi yaliyotangazwa rasmi jijini Dodoma na Rais Samia Suluhu Hassan.