Habari Abiria wa Ndege kati ya Songea na Dar-es-Salaam waongezeka kila siku Mwandishi Wetu Mpinzani mkuu wa kampuni ya mabasi ya Super Feo katika safari ya Dar-Songea kwa sasa ni ndege za Air Tanzania