Tanzania na Mawe kutoka Sayari za Mbali Mwandishi Wetu Oct 21, 2022 Mawe kadha ya ajabu kutoka sayari za mbali, maarufu kama Vimondo, yamekwisha kuanguka sehemu mbalimbali nchini Tanzania. Je, kuna nini cha ziada eneo hili?