Tanki la Bohari ya Mafuta lazua Taharuki Dar-es-salaam
Wakazi wa jiji la Dar-es-salaam wamekumbwa na taharuki kufuatia kile kilichoelezwa kuwa ni kuvuja kwa mafuta kwenye tenki kubwa la bohari ya Malawi Cargo Center.
Tukio hilo liliripotiwa siku ya kwanza ya Disemba 2022 kuanzia majira ya saa mbili!-->!-->!-->…