Wizara yataka bodi ya Mikopo kuondoa tatizo la Wanafunzi Kujitoa Masomoni Berry Mollel Wanafunzi wengi wa vyuo huacha masomo kutokana na hali ya umasikini pamoja na kwamba wana uwezo mkubwa sana kimasomo