Uchawi wa Teknolojia Nyambizi: ‘Meli’ ya Kutisha Bahari Kina ambayo sio hasa Meli bali ‘Ndege Maji!’ Taifa Tanzania Kama ambavyo Nyangumi sio samaki, ingawa yumo baharini. Nyambizi pia sio meli ingawa hupita majini