Tanzania ina Upungufu wa Miche Milioni 30 ya Kahawa Valentine Oforo Feb 27, 2023 Kahawa, zao lililowahi kuwa maarufu sana Afrika Mashariki sasa linarejea tena kwa nguvu kubwa ingawa Tanzania bado ina upungufu wa miche hiyo