Shirikisho lashauri Taekwondo Kufundishwa Katika Shule za Umma
Uongozi wa Shirikisho la mchezo wa Taekwondo Tanzania sasa wanataka elimu hiyo kuanza kufundishwa katika shule za umma zinazoendeshwa na serikali.
Tanzania Taekwondo Federation pia linashauri mchezo huo wa kundi la!-->!-->!-->…