Vita kati ya Urusi na Ukraine yatibua Soko la Pilipili Kutoka Tanzania Taifa Tanzania Nov 17, 2022 Pilipili usiyoila imenza kuwasha kila mahali baada kuporomoka kwa soko la zao hilo duniani kufuatia vita baina ya Urusi na Ukraine