Uamuzi wa mahakama unatokana na ombi la kikatiba lililofunguliwa mwaka 2020 na wabunge wa upinzani dhidi ya Kamishna Mkuu wa Magereza na Mwanasheria Mkuu wa Serikali.
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Fedha Duniani (IMF), Kristalina Georgieva, na aliyekuwa mke wa mmoja wa watu matajiri zaidi duniani Jeff Bezos, Mackenzie Scott, nao pia wametambuliwa kwenye orodha hiyo yenye sifa kubwa…
Tatizo hili la chakula kupanda ni bei ya nafaka imekuwa changamoto Sana kiasi cha wafanyabiashara wa chakula kutupandishia bei ya chakula lakini lingine ni ubora wa vyakula vyenyewe viko chini kiasi cha kutulazimu…
Akizungumzia mradi huo, mwakilishi wa ubalozi wa Canada, Bronwyn Cruden alisema kuwa serikali yake imetoa jumla ya Dola milioni 25 za Canada ambazo ni sawa na shilingi Bilioni 45.6 kwa ajili ya kudhamini mradi huo.
China inaongoza kwa uwekezaji nchini Tanzania. Hadi kufikia Mwezi Oktoba 2022, Jumla ya miradi 1,098 yenye thamani ya Dola za Kimarekani Bilioni 9.6 ilisajiliwa katika kituo cha uwekezaji cha TIC.
Idadi ya wanawake pekee imefikia 31,687,990, kwa mujibu wa matokeo ya sensa ya kitaifa ya watu na makazi yaliyotangazwa rasmi jijini Dodoma na Rais Samia Suluhu Hassan.