Habari Hatimaye Wahadzabe Sasa Waanza Kusoma Hadi Sekondari Sophia Fundi Wamekuwa wakiishi maisha ya porini tangu kuumbwa kwa dunia, lakini sasa jamii ya Wahadzabe waishio wilayani Karatu, Mkoani Arusha, wamegundua umuhimu wa kujiunga na elimu rasmi mashuleni