Spoti Mbulu Mbioni Kurejesha Sifa yake kwenye Riadha za Kimataifa Mwandishi Wetu Iliwahi kuwa juu, baadae ikashuka na sasa wilaya ya Mbulu mkoani Manyara inarudi upya kwenye ulingo wa riadha za kitaifa na kimataifa