Mashitaka ya kutaka Kulipua Jiji la Dar-es-salaam yaligeuka kuwa Kesi ya Kuipindua Serikali – Lema Taifa Tanzania Mar 1, 2023 "Tukiwa Nairobi nilimshauri mwenyekiti wangu asirudi nchi. Lakini hakusikia. Akaja. Naye akakamatwa na kupewa uhaini!"