Mwembe wa Ikulu Kutimiza Miongo 60 ifikapo Mwaka 2024 Taifa Ripota Feb 2, 2023 Mwaka 2025 utakuwa ni mwaka wa uchaguzi mkuu Tanzania. Lakini pia ndio kipindi ambacho mti wa mwembe ulioko Ikulu ya Dar-es-salaam utatimiza miaka 61.