‘Wafungwa wasilazimishwe Kupima Ukimwi!’ Mahakama Yaamuru Taifa Ripota Dec 31, 2022 Uamuzi wa mahakama unatokana na ombi la kikatiba lililofunguliwa mwaka 2020 na wabunge wa upinzani dhidi ya Kamishna Mkuu wa Magereza na Mwanasheria Mkuu wa Serikali.