Tatizo la Umeme nchini mbioni kuisha kabisa
Kwa mujibu wa TANESCO, shirika linategemea mtambo wa mwisho uliopo katika kituo cha upanuzi cha Kinyerezi namba I (Kinyerezi I Extension) utaanza kuzalisha megawati 45 za umeme kwenye Gridi ya Taifa ifikapo mwishoni mwa…