Mtafiti wa Ujerumani Aangazia Athari Pamoja na Faida Za Mioto Inayolipuka Kilimanjaro Kila Mara
Andreas Hemp, mwanazuoni na mtafiti wa masuala ya mazingira katika chuo kikuu cha Bayreuth anasema mioto inayolipuka Kilimanjaro wakati mwingine ina faida kwa mazingira