Vitambulisho vya Taifa Sasa kuombwa Mtandaoni Mwandishi Wetu Dec 27, 2022 Mamlaka inadai kuwa huu ni mfumo utakaowezesha wananchi wenye sifa za kuomba Vitambulisho vya Taifa kujaza fomu mtandaoni popote walipo.