Vitunguu vya Mang’ola Vyasababisha Machozi Karatu baada ya bei kuporomoka Berry Mollel Viliwahi kuwa dhahabu nyekundu kwa mkoa wa Arusha, lakini sasa vitunguu vya kutoka Karatu vimekuwa mali ya kale