Rais Samia Suluhu afanya mabadiliko ya uongozi katika wilaya 85 Mwandishi Wetu Jan 25, 2023 Katika Orodha mpya ya Wakuu wa Wilaya, iliyotolewa na Ikulu, wamo Wanaume 100 na Wanawake 40