Wanyamapori sasa ni tishio kubwa dhidi ya Maisha ya wakazi wa wilaya ya Karatu
Mwenyekiti wa Baraza la Madiwani anaelezea hofu yake kwamba hivi sasa analazimika kuhudhuria misiba na mazishi ya wakazi wanaouawa na wanyama kama Tembo na Nyati, kila siku.