Browsing Category
Biashara
Rais Samia aombwa kuingilia sakata la hati ya Kampuni ya Uchukuzi Iringa
Wamiliki wa kampuni hiyo ya Uchukuzi, Iringa pia wanadai kunyanyaswa na baadhi ya maofisa wa serikali huku hati yao ya umiliki ikiwa imeshikiliwa kusikojulikana
Tatizo la Umeme nchini mbioni kuisha kabisa
Kwa mujibu wa TANESCO, shirika linategemea mtambo wa mwisho uliopo katika kituo cha upanuzi cha Kinyerezi namba I (Kinyerezi I Extension) utaanza kuzalisha megawati 45 za umeme kwenye Gridi ya Taifa ifikapo mwishoni mwa mwezi Februari 2023.
Benki Kuu ya Tanzania yapata Gavana Mpya
Benki Kuu ya Tanzania imepata Gavana Mpya baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kufanya teuzi mpya katika wizara na taasisi za fedha nchini
Utapeli Mpya waibukia kwenye Miamala ya Benki
Matapeli sasa wamebuni mbinu mpya ya kutuma taarifa ghushi kwa wamiliki wa akaunti za benki, hasa zile za taasisi kana kwamba kuna fedha nyingi zimetumwa kutoka nje ya nchi
Wakazi wa Mara waiburuza Barrick Gold Mahakamani Nchini Canada
Inajulikana wazi kwamba, kwa Wakazi wa Mkoa wa Mara, 'Vita ni Vita,' hata kama italazimika kupiganwa nchini Canada
Arusha kufuta magari madogo ya abiria kutoka kwenye sekta ya usafirishaji Jijini
Magari madogo aina ya Toyota Hiace na Nissan Caravan yanatakiwa kupisha mabasi ya saizi ya kati kama Toyota Coaster na Nissan Civillian
Sekta ya Ufugaji Kuku Nchini Sasa Hatarini Kutokana na Mfumuko wa Bei
Tatizo hili la chakula kupanda ni bei ya nafaka imekuwa changamoto Sana kiasi cha wafanyabiashara wa chakula kutupandishia bei ya chakula lakini lingine ni ubora wa vyakula vyenyewe viko chini kiasi cha kutulazimu kutumia madawa mengi kutibu kuku na kuwakuza kwa haraka bila kujali afya ya…
Vita kati ya Urusi na Ukraine yatibua Soko la Pilipili Kutoka Tanzania
Pilipili usiyoila imenza kuwasha kila mahali baada kuporomoka kwa soko la zao hilo duniani kufuatia vita baina ya Urusi na Ukraine
Mfuko wa Hifadhi za Jamii Kutoa Mikopo, Mashine Kusaidia Uwekezaji Katika Viwanda Vidogo nchini
Hadi sasa zaidi ya shilingi milioni 858 zimetolewa kwa vikundi 18 huku NSSF wakiendelea kutoa elimu kwa wananchi waliomo katika sekta isiyo rasmi.
Vitunguu vya Mang’ola Vyasababisha Machozi Karatu baada ya bei kuporomoka
Viliwahi kuwa dhahabu nyekundu kwa mkoa wa Arusha, lakini sasa vitunguu vya kutoka Karatu vimekuwa mali ya kale