Browsing Category
Habari
Habari Mpya
Tanzania kuchimba mabwawa 2000 kuwasaidia wakulima katika kila wilaya nchini kupata maji
Mradi huo ujulikanao kwa jina la ‘Bwawa la maji kwa Mkulima,’ utawezesha kila wilaya kupata mabwawa 10 kwa ajili ya shughuli za kilimo na ufugaji.
Air France yaanzisha safari za moja kwa moja kati ya Paris na Dar-es-Salaam
Ndege hiyo itakuwa ikifanya safari zake mara tatu kwa wiki ikipitia Zanzibar na kisha kuendelea na safari mpaka Dar Es Salaam.
Mfugaji amlabua Risasi Mkulima Simanjiro
PAUL Laizer ambaye ni mfugaji wa jamii ya kimasai, anashikiliwa na Jeshi la Polisi, Mkoa wa Manyara kwa tuhuma za kumshambulia kwa risasi, Walter Kaaya ambaye ni mkulima.
Tukio hilo limeripotiwa katika Kata ya Loobosaiti, Wilaya ya Simanjiro, Mkoa wa Manyara wakati Kaaya mwenye umri wa!-->!-->!-->…
Mtoto wa Donald Trump atua nchini Tanzania
Donald Trump Junior ambaye ni mtoto wa aliyekuwa Rais wa Marekani, Donald Trump amewasili nchini Tanzania kwa kile kinachoelezwa kuwa ni ziara binafsi ya kitalii.
Trump Junior ndiye Mtoto wa kwanza wa Rais wa 45 wa Marekani, aliyetawala taifa hilo kubwa kwa kipindi kimoja.
Mara tu baada!-->!-->!-->!-->!-->…
Benki ya NCBA yajitolea kusaidia Kituo kipya cha Afya Wilayani Longido
Kabla ya serikali kujenga kituo hicho cha afya kwenye kata ya Kitumbeine, wakazi wa vijiji vya eneo hilo walikuwa wanalazimika kusafiri umbali wa zaidi ya kilomita 60 ili kupata huduma za afya, katika hospitali ya wilaya iliyopo mjini Longido.
Shirika la Nyumba lajenga Makazi Mapya 560 eneo la Kawe Tangayika Packers
Nyumba zipatazo 560 zinazojengwa eneo la Kawe ni miongoni mwa ujenzi wa majengo 5000 unaotekelezwa na Shrika la Nyumba la Taifa (NHC)
Wanasayansi Arusha Wagundua dawa ya Mmea Hatari wa Gugu Karoti
Gugu Karoti linadaiwa kuwa hatari kwa maisha ya binadamu, mifugo na uoto asili
Jeshi la Polisi sasa kuunganishwa katika Mitandao ya Mawasiliano ya Kimataifa
Serikali imeamua kuunganishia Jeshi la polisi katika mifumo yote ya mawasiliano ya kiusalama ya kimtandao nchini.
Hii pia ni katika kuimarisha usalama nadni ya maeneo ya uhifadhi kwa ajili ya kupata taarifa za malalamiko ya kiusalama kutoka maeneo mbali mbali duniani yanayahusu Tanzania.
!-->!-->!-->!-->…
Tatizo la Kukatika Daraja la Zira Mkoani Songwe limekwisha rasmi
Wakala wa Barabara nchini imefanikiwa kutatua tatizo la muda mrefu la kukatika kwa barabara eneo la Zira Barabara ya kutoka Chang'ombe hadi Patamela yenye urefu wa Kilometa 55.7 baada ya kujenga miundombinu imara na ya kudumu katika eneo hilo korofi mkoani Songwe.
Eneo hilo la Zira kwa!-->!-->!-->…
Uwanja wa Ndege Sumbawanga kuwa wa Kisasa Zaidi
Uwanja wa Ndege wa Sumbawanga unatarijiwa kubadilika na kuwa wa kisasa zaidi kufuatia mkataba rasmi wa kuujenga upya ulitiwa saini wiki chache zilizopita.
Tanzania kupitia Wakala ya Barabara Tanzania TANROADS imesaini mkataba wenye thamani ya shilingi Bilioni 55.908 na Kampuni ya Beijing!-->!-->!-->…