Browsing Category
Habari
Habari Mpya
Faru wa Mwana wa Mfalme wa Uingereza Apata Mjukuu katika Hifadhi ya Mkomazi
Faru walioko kwenye mradi maalum katika hifadhi ya Taifa ya Mkomazi, Mkoani Kilimanjaro, wanaendelea kuongezeka na sasa Grumeti, ambaye ni mnyama pendwa wa Mwana wa Mfalme wa Uingereza, amepata mjukuu
Matufaa ya Sodoma sasa yatishia Hifadhi ya Taifa ya Arusha
Wataalam wanaonya kuwa mimea vamizi inayochipuka kwa kasi chini ya Mlima Meru sasa inatishia uoto wa asili pamoja na wanyamapori katika hifadhi ya Taifa ya Arusha
Vijana 150,000 hujiunga na vyuo vya Ufundi Stadi Kila Mwaka nchini Tanzania
Zaidi ya vijana 150,000 hujiunga na taasisi za elimu ya ufundi stadi kila mwaka nchini tanzania.
Teknolojia Mpya kutumika kuwanasa majangili katika mapito ya wanyama ya Tarangire-Manyara
Mfumo huo wa kisasa utaanza kutumika mwaka huu, katika eneo la jumuiya ya hifadhi ya wanyamapori Burunge, kupitia mradi wa uhifadhi maliasili unaodhaminiwa na shirika la msaada la kimataifa la Marekani (USAID)
Wananchi 200 wanufaika na kambi maalum ya matibabu ya Mifupa Sumbawanga
Zaidi ya wananchi 200 wa Mkoa wa Rukwa na mikoa ya jirani wamepatiwa huduma za uchunguzi na matibabu ya mifupa katika kambi ya maalum ya tiba ya upasuaji kwenye Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Sumbawanga.
Shughuli hizo za siku tano ziliratibiwa na Hospitali ya Rufaa ya Kanda Mbeya.
Kiongozi!-->!-->!-->!-->!-->…
Iringa yamaliza tatizo la wananchi kupachikiwa bili kubwa za maji kinyume na matumizi yao
Hadi sasa huduma ya maji safi katika mji wa Iringa imewafikiwa wananchi kwa zaidi ya asilimia 97 na mikakati ya kuwafikia wananchi wote inaendelea.
Kilimo cha Michikichi: Tanzania sasa Kuzalisha Miche Laki Tatu kwa Mwaka
Wakala wa Mbegu za Kilimo Tanzania (ASA) imejipanga kuongeza uzalishaji wa miche ya zao la michikichi hadi kufikia zaidi ya miche 300,000 kwa mwaka ili kusaidia kupunguza wimbi la uingizaji wa mafuta ya kula nchini.
Hatua hiyo, kwa kiasi fulani inatokana na maagizo ya Waziri wa Mkuu,!-->!-->!-->…
Tanzania ina Upungufu wa Miche Milioni 30 ya Kahawa
Kahawa, zao lililowahi kuwa maarufu sana Afrika Mashariki sasa linarejea tena kwa nguvu kubwa ingawa Tanzania bado ina upungufu wa miche hiyo
Waburuzwa Mahakamani Kwa Kuchinja Twiga Mdogo
Twiga huyo mdogo ambaye watuhumiwa wanadaiwa kukutwa wakimchuna ngozi, alichinjwa katika eneo la Kwakuchinja, wilayani Babati
Tanzania yaweka saini kituo cha operesheni za Dharura katika Jumuiya ya Maendeleo, Kusini
TANZANIA limekuwa taifa la kwanza miongoni mwa wanachama wa Jumuiya ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC), kusaini mkataba wa kuanzishwa kituo cha huduma za kibinadamu na operesheni za dharura za kanda.
Akizungumza wakati wa hafla ya utiaji saini mkataba huo iliyofanyika Jijini!-->!-->!-->…