Browsing Category
Simulizi na Historia
Nyuma ya Pazia la Jamii za Kichaga
Chagga, moja ya jamii maarufu zaidi katika eneo zima la Afrika Mashariki, lakini hili sio kabila
Huyu sasa ndiye aliyekuwa Brigedia Walden
JOHN BUTLER WALDEN
John Butler Walden (Desemba 12, 1939 – 7 Julai 2002) alikuwa Brigedia wa Tanzania, ambaye aliongoza wanajeshi wa nchi hii katika vita vya 1978-1979 vilivyosaidia kumuondoa dikteta wa kijeshi Idi Amin katika nchi jirani ya Uganda.
Amin alikuwa ametuma jeshi lake!-->!-->!-->!-->!-->…
Kwa nini Kisiwa kinachoelea katika Ziwa Nyasa huitwa Falkland?
Hapo zamani palikuwa na Wanyasa wenye kufuatilia mambo mbalimbali duniani kote, hasa kupitia mawasiliano ya redio.
Wazee wa sasa wanapenda sana redio kuliko televisheni.
Redio ziliwasaidia kujua mengi na kukuza ufahamu na kutunza kumbukumbu nyingi zaidi vichwani mwao. Moja ya!-->!-->!-->!-->!-->…
Nyanda Nyasele: Sehemu Takatifu kwa Wangoni Iliyoharibiwa na Wazungu
Na Kabla ya Nyanda Nyasele tunapata historia ya chimbuko la jina "Ukonga!" na kanisa lenye umbo wa mwamvuli
Black Mamba: Jitu la Kutisha Katika Vita Dhidi ya Idd Amin
Black Mamba aliibuka Kipindi kama hiki, mwaka 1978 Tanzania iliingia vitani dhidi ya majeshi ya Idd Amin aliyekuwa Rais wa Uganda.
Historia ya Sanamu la Askari eneo la Samora Jijini Dar-es-Salaam
Pengine ndio mnara maarufu zaidi nchini, Sanamu la Askari lililopo katika makutano ya Barabara ya Samora na Maktaba jijini Dar-es-salaam.
Lambert Dorr: Padre Kutoka Ujerumani Aliyeacha Historia ya Ajabu Ruvuma
Eneo la Peramiho moani Ruvuma, ni eneo lenye kumbukumbu nyingi muhimu zinazostahili kutunzwa zaidi hasa kwa maandishi.
Na kati ya watu muhimu waliopitia Peramiho ni pamoja na Padre Lambert Dorr.
Padre Dorr pengine ndiye Mjerumani aliyeipenda zaidi Tanzania kuliko Ujerumani yenyewe.
!-->!-->!-->!-->!-->!-->!-->…