Browsing Category
Mazingira
Mahakama yazuia kuuzwa kwa Kitalu cha Burunge
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Saalam, imezuia mchakato wa kupiga mnada Kitalu cha uwindaji katika eneo la Jumuiya ya Hifadhi ya Jamii Burunge (JUHIBU)
Mahakama imetoa zuia la dharura la mchakato wa kukigawa kitalu hicho kutokana na kesi iliyofunguliwa na kampuni ya EBN!-->!-->!-->…
Hifadhi za Taifa Huzungukwa na Vijiji zaidi ya 10,000 katika wilaya 70 za Tanzania Bara
Afisa Utalii Mkuu wa Kanda ya Kaskazini wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA), Edmund Murashani, hali hiyo inawafanya mamilioni ya wakazi wa vijiji hivyo kuwa ndio wahifadhi wakubwa na walinzi wa maliasili nchini.
Kinachoisibu Jumuiya ya Hifadhi ya Jamii, Burunge wilayani Babati
Mgogoro huo umeibuka baina ya Mwenyekiti wa jumuiya hiyo, Hamis Juma na Bodi ya wadhamini wa jumuiya hiyo ambayo inaungwa mkono na baraza la ushauri la maliasili la wilaya hiyo na wananchi waliowengi.
Tanzania yaanza kutoa mafunzo ya Nishati Safi Kwa Nchi za Afrika Mashariki
Tayari wanafunzi zaidi ya 200 wa awali kutoka Tanzania wanapata elimu ya nishati jadidifu za umeme yaani umeme wa jua (Solar Energy), Nishati ya Upepo (Wind energy) na nishati inayotokana na mimea, gesi asilia pamoja na mboji, yaani Bio energy.
Moto Kilimanjaro ulivyodhibitiwa Mlimani mwaka 2022 na jinsi ya kujiandaa dhidi ya matukio kama hayo mwaka huu
Uwepo wa miinuko mikali na makorongo makubwa pamoja na mlundikano wa mboji ambayo huhifadhi moto kwa muda mrefu iliongeza ugumu wa zoezi la kuzima moto
Mgogoro waibuka Hifadhi ya Jamii Burunge baada ya kitalu cha uwindaji kutangazwa bila ridhaa ya Viongozi
"Tukumbuke kuwa haya pia ni mapito ya wanyama," wanasema viongozi wa Hifadhi ya Jamii ya Burunge (WMA).
Wanyamapori Wavamia Makazi ya watu Usiku Wakitafuta Maji, Monduli
Baada ya Mito na Mabwawa kukauka, Tembo wamenza kuvamia nyumba za watu wakitafuta maji huku fisi wakiua mifugo
Mtafiti wa Ujerumani Aangazia Athari Pamoja na Faida Za Mioto Inayolipuka Kilimanjaro Kila Mara
Andreas Hemp, mwanazuoni na mtafiti wa masuala ya mazingira katika chuo kikuu cha Bayreuth anasema mioto inayolipuka Kilimanjaro wakati mwingine ina faida kwa mazingira