Browsing Category
Siasa
Karatu Kujengewa Mnara wa Kumbukumbu ya Uhuru wa Tanganyika
Karatu ambayo ndio wilaya pekee nchini yenye mnara wa historia ya kuanzishwa kwa vijiji vya Ujamaa, sasa iko mbioni kujenga mnara mwingine wa kitaifa.
Baraza la wazee wilayani Karatu kwa kushirikiana na Halmashauri ya wilaya hiyo kwa pamoja wanajiandaa kujenga mnara wa kumbukumbu ya Uhuru!-->!-->!-->…
Kuelekea Miaka 62 ya Uhuru: Rais Samia Miongoni mwa Wanawake 100 wenye ushawishi Mkubwa Duniani
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Fedha Duniani (IMF), Kristalina Georgieva, na aliyekuwa mke wa mmoja wa watu matajiri zaidi duniani Jeff Bezos, Mackenzie Scott, nao pia wametambuliwa kwenye orodha hiyo yenye sifa kubwa duniani.