Kabla ya serikali kujenga kituo hicho cha afya kwenye kata ya Kitumbeine, wakazi wa vijiji vya eneo hilo walikuwa wanalazimika kusafiri umbali wa zaidi ya kilomita 60 ili kupata huduma za afya, katika hospitali ya wilaya iliyopo mjini Longido.
Twiga huyo mdogo ambaye watuhumiwa wanadaiwa kukutwa wakimchuna ngozi, alichinjwa katika eneo la Kwakuchinja, wilayani Babati
Babati kuna tatizo. Mnyama twiga, ambaye ndiye nembo ya taifa la Tanzania anawindwa kwa wingi maana wakazi wa maeneo hayo wanaitaka nyama yake.
Ongezeko la Joto Duniani pamoja na mabadiliko ya tabia ya nchi zimefanya watu sasa wabuni njia nyingi mbadala wa kupambana na janga hilo kubwa ulimwenguni
Huku matukio ya uwindaji haramu yakishamiri katika maeneo kadhaa wilayani Babati, watu wawili wamesukumwa jela kutumikia miaka 20 gerezani kwa kupatikana na Pembe za Ndovu
Kufuatia kuongezeka kwa idadi ya wanyamapori, hususan Tembo, Meatu imeanza harakati ya kupima upya maeneo kwenye vijiji kumi vinavyozunguka hifadhi ya jamii ya Makao
Mwenyekiti wa Baraza la Madiwani anaelezea hofu yake kwamba hivi sasa analazimika kuhudhuria misiba na mazishi ya wakazi wanaouawa na wanyama kama Tembo na Nyati, kila siku.
Matukio
Tanzania yaweka saini kituo cha operesheni za Dharura katika Jumuiya ya Maendeleo, Kusini
TANZANIA limekuwa taifa la kwanza miongoni mwa wanachama wa Jumuiya ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC), kusaini mkataba wa kuanzishwa kituo cha huduma za kibinadamu na operesheni za dharura za kanda.
Akizungumza wakati wa hafla!-->!-->!-->…
Uchumi
Bei ya Maji Karatu yashuka kwa zaidi ya Asilimia Hamsini
Karatu ndio mji pekee nchini uliofanikiwa kupunguza bei ya maji kwa zaidi ya asilimia 50
Spoti
Safari ya Mji wa Mbulu kuwa Kitovu Cha Michezo Mkoani Manyara Yaanza na Ukarabati wa Viwanja
Hivi karibuni Chief Sarwatt ilikuwa miongoni mwa shule zilizoteuliwa na serikali kushiriki mafunzo maalum ya michezo yaliyoendeshwa na Baraza la michezo Tanzania kupitia wizara ya Utamaduni, Sanaa na…
Uhifadhi
Eneo la Tanzania, Kenya kumeguka kutoka Afrika na Kuunda Bara Jingine?
Tanzania, Kenya na nchi zingine kadhaa za afrika zinatabiriwa kujitenga na kuanzisha bara jipya miaka michache ijayo
Wafugaji Waomba Kukutana na Rais Samia Suluhu Hassan
Jamii za wafugaji zinataka kumpa Rais Samia taarifa sahihi kuhusu wao, tofauti na zile anazopewa na wasaidizi wake
Hifadhi za Taifa Huzungukwa na Vijiji zaidi ya 10,000 katika wilaya 70 za Tanzania Bara
Afisa Utalii Mkuu wa Kanda ya Kaskazini wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA), Edmund Murashani, hali hiyo inawafanya mamilioni ya wakazi wa vijiji hivyo kuwa ndio wahifadhi wakubwa na walinzi wa maliasili nchini.
Makala
Mfalme Charles III na Siri ya Mti wa Mkuyu katika Hifadhi ya Taifa ya Arusha
Mfalme Charles III ana siri yake moja. Anaupenda mti mkubwa wa Mkuyu ulioko chini ya Maporomoko ya Maji ya Tululusia, katika hifadhi ya Taifa ya Arusha, Tanzania
Kisiba: Ziwa Lenye Chungu Cha Hazina inayolindwa na Joka Kubwa lenye vichwa Viwili
Maeneo yenye maji, hususan maziwa na bahari mara nyingi hayakosi mauzauza na miujiza.
Siku Moto Ulipolipuka kwenye jengo la Benki Kuu ya Tanzania (BoT) jijini Dar-es-salaam
Habari kamili au za wazi kuhusu chanzo cha moto huo na hasara zake, hazikutolewa kwa wazi sana licha ya ujio wapelelezi kutoka Uingereza ambao waliwasili nchini kufanya uchunguzi wa tukio hilo na kutoa ripoti kwa mamlaka…
Mwembe wa Ikulu Kutimiza Miongo 60 ifikapo Mwaka 2024
Mwaka 2025 utakuwa ni mwaka wa uchaguzi mkuu Tanzania. Lakini pia ndio kipindi ambacho mti wa mwembe ulioko Ikulu ya Dar-es-salaam utatimiza miaka 61.
Mulala: Eneo lililotoa watu Maarufu Meru
Mwanuo ndiye babu yake askofu Kitoi Nassari, yeye alioa wanawake karibia 60. Ana kijiji chake huko Siha Kinaitwa Tindigani
Historia ya Eneo linaloitwa ‘Maji ya Chai’ Arusha
Kwa nini hasa eneo lililo mbele kidogo ya Usa-River linaitwa 'Maji ya Chai?' Pengine tuanze na historia yake kwanza
Simulizi
Kwanini Nyerere Aligombana Na Viongozi wa Marekani?
Balozi wa Marekani Kipindi hicho, Bwana Leonhart anauelezea mkutano wake na Nyerere kwamba ”Haukuwa mzuri….”
Vituko Vya Tuntemeke Sanga: Msomi aliyemtaka Rais Nyerere ampishe Ikulu
Tuntemeke kutaka Nyerere ampishe Ikulu, lilimuudhi sana Mwalimu akaamua kutumia Sheria yake ya " The preventive Detention Act 1962" akamsweka mara moja kizuizini kijijini kwake Bulongwa na kumwamuru asitoke kijijni hapo…
Padri Joseph Damn: Mateka wa Vita aliyefanya mambo makubwa Tanganyika
Katikati ya vita vya dunia, vita vya majimaji na mapambano ya mkwawa dhidi ya wajerumani, Padri Damn aliweza kufanya makubwa Tanganyika
Mikaeli Ahho: Chifu Mkatili Zaidi kuwahi kutokea katika Jamii za Wairaqw
Hii ni simulizi na historia adimu sana kuhusu chifu mkali na machachari kuwahi kutokea katika jamii za wairaqw
Hizi ni siri Kuhusu Mnyama Paka ambazo huenda zikakushangaza sana
Paka ni mnyama wa ajabu sana. Kuanzia kutuhumiwa kwamba anatumika na wachawi hadi kupewa uongozi mkubwa kule ulaya. Zifuatazo ni siri za Paka
Historia ya Eneo la Muheza, Tanga
"...Walimpa mlima wote wa Magila wakidhani kuwa atashindwa kujenga kwa sababu ya kuwa na mawe mengi. Kwa mshangao aliporudi aliyatumia mawe hayo hayo kujengea...!"
Maisha
George Gathogo: Msindikaji Maziwa anayelenga kuteka soko la Afrika Mashariki
Washindani wake kibiashara walianza hadi kuwatishia watu waliotaka kusambaza au kuuza bidhaa zake kwamba wangesitisha kumpa bidhaa zingine za maziwa kutoka kwao iwapo angeendelea kuchanganya na maziwa yake.
Kinachoisibu Jumuiya ya Hifadhi ya Jamii, Burunge wilayani Babati
Mgogoro huo umeibuka baina ya Mwenyekiti wa jumuiya hiyo, Hamis Juma na Bodi ya wadhamini wa jumuiya hiyo ambayo inaungwa mkono na baraza la ushauri la maliasili la wilaya hiyo na wananchi waliowengi.
Moto Kilimanjaro ulivyodhibitiwa Mlimani mwaka 2022 na jinsi ya kujiandaa dhidi ya matukio kama hayo mwaka huu
Uwepo wa miinuko mikali na makorongo makubwa pamoja na mlundikano wa mboji ambayo huhifadhi moto kwa muda mrefu iliongeza ugumu wa zoezi la kuzima moto
Nyambizi: ‘Meli’ ya Kutisha Bahari Kina ambayo sio hasa Meli bali ‘Ndege Maji!’
Kama ambavyo Nyangumi sio samaki, ingawa yumo baharini. Nyambizi pia sio meli ingawa hupita majini
Jinsi ya Kugundua Kamera za Siri zilizotegwa katika Nyumba za Kulala Wageni
Uko safarini, unatafuta chumba cha hoteli, hujui hili wala lile....Halafu ghafla...
Mtafiti wa Ujerumani Aangazia Athari Pamoja na Faida Za Mioto Inayolipuka Kilimanjaro Kila Mara
Andreas Hemp, mwanazuoni na mtafiti wa masuala ya mazingira katika chuo kikuu cha Bayreuth anasema mioto inayolipuka Kilimanjaro wakati mwingine ina faida kwa mazingira
Safari Kuelekea Mlima Ung’u: Simulizi ya Ujio wa Watu Wanaoishi Meru, Arusha
Neno Nkanti ambalo ndilo chimbuko la "Kikatiti," ni mwanamke bado hajazeeka au mke mdogo.
Tanzania na Mawe kutoka Sayari za Mbali
Mawe kadha ya ajabu kutoka sayari za mbali, maarufu kama Vimondo, yamekwisha kuanguka sehemu mbalimbali nchini Tanzania. Je, kuna nini cha ziada eneo hili?
Nyuma ya Pazia la Jamii za Kichaga
Chagga, moja ya jamii maarufu zaidi katika eneo zima la Afrika Mashariki, lakini hili sio kabila
Huyu sasa ndiye aliyekuwa Brigedia Walden
JOHN BUTLER WALDEN
John Butler Walden (Desemba 12, 1939 – 7 Julai 2002) alikuwa Brigedia wa Tanzania, ambaye aliongoza wanajeshi wa nchi hii katika vita vya 1978-1979 vilivyosaidia kumuondoa dikteta wa kijeshi Idi Amin katika nchi!-->!-->!-->…
Kwa nini Kisiwa kinachoelea katika Ziwa Nyasa huitwa Falkland?
Hapo zamani palikuwa na Wanyasa wenye kufuatilia mambo mbalimbali duniani kote, hasa kupitia mawasiliano ya redio.
Wazee wa sasa wanapenda sana redio kuliko televisheni.
Redio ziliwasaidia kujua mengi na kukuza ufahamu na kutunza!-->!-->!-->!-->!-->…
Nyanda Nyasele: Sehemu Takatifu kwa Wangoni Iliyoharibiwa na Wazungu
Na Kabla ya Nyanda Nyasele tunapata historia ya chimbuko la jina "Ukonga!" na kanisa lenye umbo wa mwamvuli
Black Mamba: Jitu la Kutisha Katika Vita Dhidi ya Idd Amin
Black Mamba aliibuka Kipindi kama hiki, mwaka 1978 Tanzania iliingia vitani dhidi ya majeshi ya Idd Amin aliyekuwa Rais wa Uganda.
Historia ya Sanamu la Askari eneo la Samora Jijini Dar-es-Salaam
Pengine ndio mnara maarufu zaidi nchini, Sanamu la Askari lililopo katika makutano ya Barabara ya Samora na Maktaba jijini Dar-es-salaam.